Luke 7:49
Lakini wale waliokuwa wameketi pamoja naye chakulani wakaanza kusemezana wao kwa wao, “Huyu ni nani ambaye hata anasamehe dhambi?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
48Kisha akamwambia yule mwanamke, “Dhambi zako zimesamehewa.”
50Yesu akamwambia yule mwanamke, “Imani yako imekuokoa; nenda kwa amani.”
Cross References
Matthew 9:3Kwa ajili ya jambo hili, baadhi ya walimu wa sheria wakasema mioyoni mwao, “Huyu mtu anakufuru!”
Luke 5:20Yesu alipoiona imani yao, akamwambia yule mgonjwa, “Rafiki, dhambi zako zimesamehewa.”