Luke 8:13
Zile mbegu zilizoanguka kwenye mwamba ni wale ambao hulipokea neno kwa furaha wanapolisikia, lakini hawana mizizi. Wanaamini kwa muda mfupi, lakini wakati wa kujaribiwa huiacha imani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 19:28“Kama mkisema, ‘Tazama tutakavyomwinda, 2 maadamu mzizi wa tatizo uko ndani yake,’ 1
Proverbs 12:3Mtu hathibitiki kutokana na uovu, 2 bali mwenye haki hataondolewa. 1
Isaiah 58:2Kwa maana kila siku hunitafuta, 2 wanaonekana kutaka kujua njia zangu, 1 kana kwamba walikuwa taifa linalotenda lililo sawa, 2 na ambalo halijaziacha amri za Mungu wake. 1 Hutaka kwangu maamuzi ya haki, 2 nao hutamani Mungu awakaribie. 1
Hosea 6:4“Nifanye nini nawe, Efraimu? 2 Nifanye nini nawe, Yuda? 1 Upendo wako ni kama ukungu wa asubuhi, 2 kama umande wa alfajiri utowekao. 1
Mark 4:16Nazo zile mbegu zilizoanguka kwenye udongo wenye miamba, ni wale wanaolisikia neno, na mara hulipokea kwa furaha.
Luke 22:31Yesu akasema, “Simoni, Simoni, sikiliza, Shetani ameomba kuwapepeta ninyi wote kama ngano.