The Bible Software
bible.softwareLukaLuka 8 › Luka 8:15

Luka 8:15

Lakini zile mbegu zilizoanguka kwenye udongo mzuri ni mfano wa wale ambao hulisikia neno la Mungu na kulishika kwa moyo mnyofu wa utiifu, nao kwa kuvumilia kwingi huzaa matunda. 1 Mfano Wa Taa (Marko 4:21-25)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But that on the good ground are they, which in an honest and good heart, having heard the word, keep it, and bring forth fruit with patience.

In Context

14Zile mbegu zilizoanguka kwenye miiba ni mfano wa wale wanaosikia, lakini wanapoendelea husongwa na masumbufu ya maisha haya, utajiri na anasa, nao hawakui.

16“Hakuna mtu awashaye taa na kuificha ndani ya gudulia au kuiweka mvunguni mwa kitanda. Badala yake, huiweka juu ya kinara, ili wale waingiao ndani waone mwanga.

Read all of Luka 8

Cross References

Job 23:11Nyayo zangu zimefuata hatua zake kwa karibu; 2 nimeishika njia yake bila kukengeuka. 1

Psalms 51:10Ee Mungu, uniumbie moyo safi, 2 uifanye upya roho ya uthabiti ndani yangu. 1

Psalms 119:127Kwa sababu nazipenda amri zako zaidi ya dhahabu, 2 naam, zaidi ya dhahabu safi, 1

Jeremiah 15:16Maneno yako yalipokuja, niliyala; 2 yakawa shangwe yangu 2 na furaha ya moyo wangu, 1 kwa kuwa nimeitwa kwa jina lako, 2 Ee Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote. 1

Jeremiah 32:29Wakaldayo ambao wanaushambulia mji huu watakuja na kuuchoma moto na kuuteketeza, pamoja na nyumba ambamo watu wamenikasirisha kwa kumfukizia Baali uvumba katika mapaa na kumimina sadaka za vinywaji kwa miungu mingine.

Matthew 24:13lakini yule atakayevumilia hadi mwisho ataokolewa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luka 8:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luka 8:14Luka 8Luka 8:16 →