bible.software › Luke › Luke 8 › Luke 8:17
Luke 8:17
Kwa maana hakuna jambo lolote lililofichika ambalo halitafichuliwa, wala lolote lililositirika ambalo halitajulikana na kuwekwa wazi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For nothing is secret, that shall not be made manifest; neither any thing hid, that shall not be known and come abroad.
In Context
16“Hakuna mtu awashaye taa na kuificha ndani ya gudulia au kuiweka mvunguni mwa kitanda. Badala yake, huiweka juu ya kinara, ili wale waingiao ndani waone mwanga.
18Kwa hiyo, kuweni waangalifu mnavyosikia. Kwa maana yeyote aliye na kitu atapewa zaidi. Lakini yule asiye na kitu, hata kile anachodhani anacho atanyangʼanywa.” 1 Mama Yake Yesu Na Ndugu Zake (Mathayo 12:46-50; Marko 3:31-35)
Read all of Luke 8
Cross References
Matthew 10:26“Kwa hiyo msiwaogope hao, kwa maana hakuna kilichofichika ambacho hakitafunuliwa, wala hakuna siri ambayo haitajulikana.
Luke 12:2Hakuna jambo lolote lililositirika ambalo halitafunuliwa, au lililofichwa ambalo halitajulikana.
This Verse In Other Editions
Study Luke 8:17