Luke 8:18
Kwa hiyo, kuweni waangalifu mnavyosikia. Kwa maana yeyote aliye na kitu atapewa zaidi. Lakini yule asiye na kitu, hata kile anachodhani anacho atanyangʼanywa.” 1 Mama Yake Yesu Na Ndugu Zake (Mathayo 12:46-50; Marko 3:31-35)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 32:46akawaambia, “Yawekeni moyoni maneno yote ambayo nimewatangazia kwa makini siku hii ya leo, ili kwamba mpate kuwaagiza watoto wenu wayatii kwa bidii maneno yote ya sheria hii.
Proverbs 14:12Iko njia ionekanayo kuwa sawa kwa mtu, 2 bali mwisho wake huelekeza mautini. 1
Matthew 13:12Kwa maana yule aliye na kitu atapewa zaidi, naye atakuwa navyo tele. Lakini yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho atanyangʼanywa.
Mark 4:23Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.”
Luke 9:44“Sikilizeni kwa makini haya nitakayowaambia sasa: Mwana wa Adamu atasalitiwa na kutiwa mikononi mwa watu.”
Luke 16:2Hivyo huyo tajiri akamwita na kumuuliza, ‘Ni mambo gani haya ninayoyasikia kukuhusu? Toa taarifa ya usimamizi wako, kwa sababu huwezi kuendelea kuwa msimamizi.’