Luke 8:23
Hivyo walipokuwa wakienda, akalala usingizi. Dhoruba kali ikatokea mle ziwani, hata mashua ikawa inajaa maji, nao walikuwa katika hatari kubwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 44:23Amka, Ee Bwana! Kwa nini unalala? 2 Zinduka! Usitukatae milele. 1
Psalms 107:23Wengine walisafiri baharini kwa meli, 2 walikuwa wafanyabiashara kwenye maji makuu. 1
Psalms 148:8umeme wa radi na mvua ya mawe, theluji na mawingu, 2 pepo za dhoruba zinazofanya amri zake, 1
Isaiah 54:11“Ewe mji uliyeteswa, uliyepigwa kwa dhoruba na usiyetulizwa, 2 nitakujenga kwa almasi, nitaweka misingi yako kwa yakuti samawi. 1
Acts 27:14Lakini baada ya muda mfupi ikavuma tufani kubwa iitwayo “Eurakilo” toka kisiwa cha Krete.