Luke 8:25
Akawauliza wanafunzi wake, “Imani yenu iko wapi?” Kwa woga na mshangao wakaulizana, “Huyu ni nani, ambaye anaamuru hata upepo na maji, navyo vikamtii?” 1 Yesu Amponya Mtu Mwenye Pepo Mchafu (Mathayo 8:28-34; Marko 5:1-20)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
26Basi wakafika katika nchi ya Wagerasi, ambayo iko upande wa pili wa ziwa kutoka Galilaya.
Cross References
Joshua 10:12Katika siku ile ambayo Bwana aliwapeana Waamori kwa Israeli, Yoshua akanena na Bwana akiwa mbele ya Waisraeli akasema: 1 “Wewe jua, simama juu ya Gibeoni, 2 wewe mwezi, tulia juu ya Bonde la Aiyaloni.” 1
Proverbs 8:29wakati aliiwekea bahari mpaka wake 2 ili maji yasivunje agizo lake, 1 na wakati aliweka misingi ya dunia. 2
Matthew 6:30Basi ikiwa Mungu huyavika hivi majani ya shambani, ambayo leo yapo na kesho yanatupwa motoni, je, hatawavika ninyi vizuri zaidi, enyi wa imani haba?
Matthew 14:31Mara Yesu akaunyoosha mkono wake na kumshika, akamwambia, “Wewe mwenye imani haba, kwa nini uliona shaka?”
Mark 4:40Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kwa nini mnaogopa hivyo? Je, bado hamna imani?”
John 11:40Yesu akamwambia, “Sikukuambia kwamba kama ukiamini utauona utukufu wa Mungu?”