Mathayo 14:31
Mara Yesu akaunyoosha mkono wake na kumshika, akamwambia, “Wewe mwenye imani haba, kwa nini uliona shaka?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
32Nao walipoingia ndani ya mashua, upepo ukakoma.
Cross References
Genesis 22:14Abrahamu akapaita mahali pale Yehova-Yire. + 22:14 Yehova-Yire maana yake Bwana atatupa. Mpaka siku ya leo inasemekana, “Katika mlima wa Bwana itapatikana.”
Psalms 138:7Nijapopita katikati ya shida, 2 wewe unayahifadhi maisha yangu, 1 unanyoosha mkono wako dhidi ya hasira ya adui zangu, 2 kwa mkono wako wa kuume unaniokoa. 1
Matthew 6:30Basi ikiwa Mungu huyavika hivi majani ya shambani, ambayo leo yapo na kesho yanatupwa motoni, je, hatawavika ninyi vizuri zaidi, enyi wa imani haba?
Matthew 16:8Yesu, akifahamu majadiliano yao, akauliza, “Enyi wa imani haba! Mbona mnajadiliana miongoni mwenu kuhusu kutokuwa na mikate?
Mark 1:31Hivyo Yesu akamwendea, akamshika mkono na kumwinua. Kisha homa ikamwacha, naye akaanza kuwahudumia. 1 Yesu Aponya Wengi (Mathayo 8:16-17; Luka 4:40-41)
Mark 5:41Akamshika mtoto mkono, akamwambia, “Talitha koum!” + 5:41 Talitha koum ni lugha ya Kiaramu. (maana yake ni, “Msichana, nakuambia: amka!”)