The Bible Software
bible.softwareLukaLuka 8 › Luka 8:50

Luka 8:50

Yesu aliposikia jambo hili, akamwambia Yairo, “Usiogope. Amini tu, naye binti yako atapona.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But when Jesus heard it, he answered him, saying, Fear not: believe only, and she shall be made whole.

In Context

49Yesu alipokuwa bado anasema, akaja mtumishi kutoka nyumbani kwa Yairo, yule kiongozi wa sinagogi, kumwambia, “Binti yako amekwisha kufa. Usiendelee kumsumbua Mwalimu.”

51Walipofika nyumbani kwa Yairo, hakumruhusu mtu yeyote aingie ndani naye isipokuwa Petro, Yakobo na Yohana, pamoja na baba na mama wa yule binti.

Read all of Luka 8

Cross References

Isaiah 50:10Ni nani miongoni mwenu amchaye Bwana, 2 na kulitii neno la mtumishi wake? 1 Yeye atembeaye gizani, 2 yeye asiye na nuru, 1 na alitumainie jina la Bwana, 2 na amtegemee Mungu wake. 1

Mark 9:23Yesu akamwambia, “Kama ukiweza kuamini, yote yawezekana kwake yeye aaminiye.”

Luke 8:48Basi Yesu akamwambia, “Binti, imani yako imekuponya. Nenda kwa amani.”

John 11:40Yesu akamwambia, “Sikukuambia kwamba kama ukiamini utauona utukufu wa Mungu?”

Romans 4:20Lakini Abrahamu hakusitasita kwa kutokuamini ahadi ya Mungu, bali alitiwa nguvu katika imani yake na kumpa Mungu utukufu,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luka 8:50

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luka 8:49Luka 8Luka 8:51 →