Luke 8:48
Basi Yesu akamwambia, “Binti, imani yako imekuponya. Nenda kwa amani.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he said unto her, Daughter, be of good comfort: thy faith hath made thee whole; go in peace.
In Context
Cross References
Exodus 4:18Kisha Mose akarudi kwa Yethro mkwewe akamwambia, “Niruhusu nirudi kwa watu wangu Misri kuona kama yuko hata mmoja wao ambaye bado anaishi.” Yethro akamwambia, “Nenda, nami nakutakia mema.”
2 Kings 5:19Elisha akamwambia, “Nenda kwa amani.” Baada ya Naamani kusafiri umbali fulani,
Matthew 9:2Wakati huo huo wakamletea mtu aliyepooza, akiwa amelazwa kwenye mkeka. Yesu alipoiona imani yao, alimwambia yule mtu aliyepooza, “Mwanangu, jipe moyo mkuu. Dhambi zako zimesamehewa.”
Matthew 12:20Mwanzi uliopondeka hatauvunja, 2 na utambi unaofuka moshi hatauzima, 1 mpaka atakapoifanya haki ishinde. 2
Luke 7:50Yesu akamwambia yule mwanamke, “Imani yako imekuokoa; nenda kwa amani.”
Luke 18:42Yesu akamwambia, “Basi upate kuona. Imani yako imekuponya.”