Luka 8:54
Yesu akamshika yule binti mkono na kuita, “Binti, amka!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he put them all out, and took her by the hand, and called, saying, Maid, arise.
In Context
53Wao wakamcheka kwa dharau, wakijua kuwa amekwisha kufa.
55Roho yake ikamrudia, naye akainuka mara moja. Akaamuru apewe kitu cha kula.
Cross References
Jeremiah 31:32Halitafanana na agano 2 nililofanya na baba zao 1 wakati nilipowashika mkono 2 kuwaongoza watoke Misri, 1 kwa sababu walivunja agano langu, 2 ijapokuwa nilikuwa mume kwao,” 4 asema Bwana. 1
Mark 1:31Hivyo Yesu akamwendea, akamshika mkono na kumwinua. Kisha homa ikamwacha, naye akaanza kuwahudumia. 1 Yesu Aponya Wengi (Mathayo 8:16-17; Luka 4:40-41)
Mark 8:23Yesu akamshika mkono huyo kipofu akampeleka nje ya kijiji. Baada ya kuyatemea mate macho ya yule kipofu na kumwekea mikono, Yesu akamuuliza, “Unaona chochote?”
Luke 7:14Kisha akasogea mbele akaligusa lile jeneza na wale waliokuwa wamelibeba wakasimama kimya. Akasema, “Kijana, nakuambia inuka.”
John 5:21Hakika kama vile Baba awafufuavyo wafu na kuwapa uzima, vivyo hivyo Mwana huwapa uzima wale anaopenda.
John 11:43Baada ya kusema haya, Yesu akapaza sauti yake akaita, “Lazaro, njoo huku!”