Luke 9:23
Kisha akawaambia wote, “Mtu yeyote akitaka kunifuata, ni lazima ajikane mwenyewe, auchukue msalaba wake kila siku, anifuate.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 10:38Tena yeyote asiyeuchukua msalaba wake na kunifuata, hastahili kuwa wangu.
Mark 8:34Ndipo akauita ule umati wa watu pamoja na wanafunzi wake, akasema, “Mtu yeyote akitaka kunifuata, ni lazima ajikane mwenyewe, auchukue msalaba wake, anifuate.
John 12:25Mtu yeyote anayependa maisha yake atayapoteza, naye ayachukiaye maisha yake katika ulimwengu huu atayaokoa hata kwa uzima wa milele.
1 Corinthians 15:30Nasi kwa upande wetu kwa nini tunajihatarisha kila saa?
2 Timothy 3:12Naam, yeyote anayetaka kuishi maisha ya utauwa ndani ya Kristo Yesu atateswa.