Luke 9:30
Ghafula wakawaona watu wawili, ndio Mose na Eliya, wakizungumza naye.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And, behold, there talked with him two men, which were Moses and Elias:
In Context
Cross References
Mark 9:4Mose na Eliya wakawatokea, wakawa wanazungumza na Yesu.
Luke 9:19Wakamjibu, “Baadhi husema wewe ni Yohana Mbatizaji, wengine husema ni Eliya, na bado wengine husema kwamba ni mmoja wa manabii wa kale amefufuka kutoka kwa wafu.”
Luke 24:44Akawaambia, “Haya ndiyo yale niliyowaambia nilipokuwa bado niko pamoja nanyi, kwamba yote yaliyoandikwa kunihusu mimi katika Sheria ya Mose, Manabii na Zaburi hayana budi kutimizwa.”
Romans 3:21Lakini sasa, haki itokayo kwa Mungu imedhihirishwa pasipo sheria, ambayo Sheria na Manabii wanaishuhudia.
Hebrews 3:3Yesu ameonekana anastahili heshima kubwa kuliko Mose, kama vile mjenzi wa nyumba alivyo wa heshima kubwa kuliko nyumba yenyewe.