Romans 3:21
Lakini sasa, haki itokayo kwa Mungu imedhihirishwa pasipo sheria, ambayo Sheria na Manabii wanaishuhudia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 15:6Abramu akamwamini Bwana, naye kwake hili likahesabiwa kuwa haki.
Isaiah 45:24Watasema kuhusu mimi, 2 ‘Katika Bwana peke yake 2 ndiko kuna haki na nguvu.’ ” 1 Wote ambao wamemkasirikia Mungu 2 watamjia yeye, nao watatahayarika. 1
Isaiah 51:8Kwa maana nondo atawala kama vazi, 2 nao funza atawatafuna kama sufu. 1 Lakini haki yangu itadumu milele, 2 wokovu wangu kwa vizazi vyote.” 1
Isaiah 61:10Ninafurahia sana katika Bwana, 2 nafsi yangu inashangilia katika Mungu wangu. 1 Kwa maana amenivika mavazi ya wokovu, 2 na kunipamba kwa joho la haki, 1 kama vile bwana arusi apambavyo 2 kichwa chake kama kuhani, 1 na kama bibi arusi ajipambavyo 2 kwa vito vyake vya thamani. 1
Jeremiah 33:16Katika siku hizo, Yuda ataokolewa 2 na Yerusalemu ataishi salama. 1 Hili ndilo jina atakaloitwa: 2 Bwana Haki Yetu.’
Luke 24:44Akawaambia, “Haya ndiyo yale niliyowaambia nilipokuwa bado niko pamoja nanyi, kwamba yote yaliyoandikwa kunihusu mimi katika Sheria ya Mose, Manabii na Zaburi hayana budi kutimizwa.”