The Bible Software
bible.softwareMalakiMalaki 1 › Malaki 1:5

Malaki 1:5

Mtayaona kwa macho yenu wenyewe na kusema, ‘ Bwana ni mkuu, hata nje ya mipaka ya Israeli!’ 1 Dhabihu Zilizo Na Mawaa

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And your eyes shall see, and ye shall say, The LORD will be magnified from the border of Israel.

In Context

4Edomu anaweza kusema, “Ingawa tumepondapondwa, tutajenga upya magofu.” Lakini hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote asemalo: “Wanaweza kujenga, lakini nitabomoa. Wataitwa Nchi Ovu, watu ambao siku zote wapo chini ya ghadhabu ya Bwana.

6“Mwana humheshimu baba yake, naye mtumishi humheshimu bwana wake. Kama mimi ni baba, iko wapi heshima ninayostahili? Kama mimi ni bwana, iko wapi heshima ninayostahili?” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. “Ni ninyi, enyi makuhani, mnaolidharau Jina langu. “Lakini mnauliza, ‘Tumelidharau Jina lako kwa namna gani?’

Read all of Malaki 1

Cross References

Deuteronomy 11:7Bali ilikuwa ni macho yenu wenyewe ambayo yaliyaona mambo haya yote makuu Bwana aliyoyatenda.

1 Samuel 12:16“Sasa basi, simameni kimya mkaone jambo hili kubwa ambalo Bwana anakwenda kulifanya mbele ya macho yenu!

Psalms 35:26Wote wanaofurahia dhiki yangu 2 waaibishwe na wachanganyikiwe; 1 hao wanaojiinua dhidi yangu 2 wavikwe aibu na dharau. 1

Psalms 83:17Wao na waaibishwe na kufadhaishwa milele, 2 na waangamie kwa aibu. 1

Ezekiel 38:23Nami hivyo ndivyo nitakavyoonyesha ukuu wangu na utakatifu wangu, nami nitajijulisha mbele ya macho ya mataifa mengi. Ndipo watakapojua kuwa Mimi ndimi Bwana.’

Micah 5:4Atasimama na kulichunga kundi lake 2 katika nguvu ya Bwana, 2 katika utukufu wa jina la Bwana Mungu wake. 1 Nao wataishi kwa usalama, kwa kuwa wakati huo 2 ukuu wake utaenea hadi miisho ya dunia. 2

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Malaki 1:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Malaki 1:4Malaki 1Malaki 1:6 →