Malachi 3:18
Kwa mara nyingine tena utaona tofauti kati ya wenye haki na waovu, kati ya wale wanaomtumikia Mungu na wale wasiomtumikia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 11:7Lakini miongoni mwa Waisraeli hakuna hata mbwa atakayembwekea mwanadamu wala mnyama yeyote.’ Ndipo mtakapojua kuwa Bwana huweka tofauti kati ya Misri na Israeli.
Job 6:29Tulizeni hasira, msiwe wadhalimu; 2 angalieni tena, kwa maana nimehatarisha uadilifu wangu. + 6:29 Au: haki yangu bado inasimama. 1
Psalms 58:10Wenye haki watafurahi waonapo wakilipizwa kisasi, 2 watakapochovya nyayo zao katika damu ya waovu. 1
Jeremiah 12:15Lakini baada ya kuwangʼoa, nitawahurumia tena na kumrudisha kila mmoja wao kwenye urithi wake mwenyewe na kwenye nchi yake mwenyewe.
Daniel 12:1“Katika wakati huo Mikaeli, mtawala mkuu ambaye huwalinda watu wako, atainuka. Kutakuwako wakati wa taabu ambao haujatokea tangu mwanzo wa mataifa hadi wakati huo. Lakini wakati huo, watu wako, kila mmoja ambaye jina lake litakutwa limeandikwa kwenye kitabu, ataokolewa.
Zechariah 1:6Je, maneno yangu na amri zangu nilizowaagiza manabii watumishi wangu, hayakuwapata baba zenu?” “Kisha walitubu na kusema, ‘ Bwana Mwenye Nguvu Zote ametutenda sawasawa na njia zetu na matendo yetu yalivyostahili, kama alivyokusudia kufanya.’ ” 1 Maono Ya Kwanza: Mtu Katikati Ya Miti Ya Mihadasi