Ayubu 6:29
Tulizeni hasira, msiwe wadhalimu; 2 angalieni tena, kwa maana nimehatarisha uadilifu wangu. + 6:29 Au: haki yangu bado inasimama. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Return, I pray you, let it not be iniquity; yea, return again, my righteousness is in it.
In Context
28“Lakini sasa kuweni na huruma mkaniangalie mimi. 2 Je, ningeweza kusema uongo mbele zenu? 1
30Je, pana uovu wowote midomoni mwangu? 2 Je, kinywa changu hakiwezi kupambanua hila?
Cross References
Job 23:10Lakini anaijua njia niiendeayo; 2 akiisha kunijaribu, nitatoka kama dhahabu. 1
Job 34:5“Ayubu anasema, ‘Mimi sina hatia, 2 lakini Mungu ameninyima haki yangu. 1
Malachi 3:18Kwa mara nyingine tena utaona tofauti kati ya wenye haki na waovu, kati ya wale wanaomtumikia Mungu na wale wasiomtumikia.