Malachi 3:2
Lakini ni nani atakayeweza kustahimili hiyo siku ya kuja kwake? Ni nani awezaye kusimama atakapotokea? Kwa kuwa atakuwa kama moto wa mfua fedha au kama sabuni ya afuaye nguo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 19:28Akatazama upande wa Sodoma na Gomora, kuelekea nchi yote ya tambarare, akaona moshi mzito ukipanda kutoka kwenye nchi, kama moshi utokao kwenye tanuru.
Job 28:1“Kuna machimbo ya fedha, 2 na mahali dhahabu isafishwapo. 1
Isaiah 1:18“Njooni basi tuhojiane,” 2 asema Bwana. 1 “Ingawa dhambi zenu ni kama rangi nyekundu, 2 zitakuwa nyeupe kama theluji; 1 ingawa ni nyekundu sana kama damu, 2 zitakuwa nyeupe kama sufu. 1
Jeremiah 2:22Hata ujisafishe kwa magadi 2 na kutumia sabuni nyingi, 2 bado doa la hatia yako liko mbele zangu,” 4 asema Bwana Mwenyezi. 1
Amos 5:18Ole wenu ninyi mnaoitamani 2 siku ya Bwana! 1 Kwa nini mnaitamani siku ya Bwana? 2 Siku hiyo itakuwa giza, si nuru. 1
Malachi 4:1“Hakika siku inakuja, itawaka kama tanuru. Wote wenye kiburi na kila mtenda mabaya watakuwa mabua makavu, na siku ile inayokuja itawawasha moto,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. “Hakuna mzizi wala tawi litakalosalia kwao.