Isaiah 1:18
“Njooni basi tuhojiane,” 2 asema Bwana. 1 “Ingawa dhambi zenu ni kama rangi nyekundu, 2 zitakuwa nyeupe kama theluji; 1 ingawa ni nyekundu sana kama damu, 2 zitakuwa nyeupe kama sufu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
19Kama mkikubali na kutii, 2 mtakula mema ya nchi, 1
Cross References
Psalms 51:7Nioshe kwa hisopo, nami nitakuwa safi, 2 unisafishe, nami nitakuwa mweupe kuliko theluji. 1
Isaiah 1:23Watawala wenu ni waasi, 2 rafiki wa wevi, 1 wote wanapenda rushwa 2 na kukimbilia hongo. 1 Hawatetei yatima, 2 shauri la mjane haliletwi mbele yao lisikilizwe. 1
Isaiah 41:1“Nyamazeni kimya mbele zangu, enyi visiwa! 2 Mataifa na wafanye upya nguvu zao! 1 Wao na wajitokeze, kisha waseme, 2 tukutane pamoja mahali pa hukumu. 1
Isaiah 43:24Hukuninunulia uvumba wowote wenye manukato, 2 wala hukunipa kwa ukarimu 2 mafuta ya wanyama wa dhabihu zako. 1 Lakini umenilemea kwa dhambi zako, 2 na kunitaabisha kwa makosa yako. 1
Isaiah 44:22Nimeyafuta makosa yako kama wingu, 2 dhambi zako kama ukungu wa asubuhi. 1 Nirudie mimi, 2 kwa kuwa nimekukomboa wewe.” 1
Micah 6:2Sikilizeni, ee milima, mashtaka ya Bwana, 2 sikilizeni, enyi misingi ya milele ya dunia. 1 Kwa kuwa Bwana ana shauri dhidi ya watu wake; 2 anatoa mashtaka dhidi ya Israeli. 1