The Bible Software
bible.softwareMalachiMalachi 4 › Malachi 4:3

Malachi 4:3

Kisha ninyi mtawakanyaga waovu, nao watakuwa majivu chini ya nyayo za miguu yenu siku ile nitakayofanya mambo haya,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And ye shall tread down the wicked; for they shall be ashes under the soles of your feet in the day that I shall do this, saith the LORD of hosts.

In Context

2Bali kwenu ninyi mnaoliheshimu Jina langu, jua la haki litawazukia, lenye kuponya katika mabawa yake. Nanyi mtatoka nje na kurukaruka kama ndama aliyeachiwa kutoka zizini.

4“Kumbukeni sheria ya mtumishi wangu Mose, amri na sheria nilizompa huko Horebu kwa ajili ya Israeli wote.

Read all of Malachi 4

Cross References

Joshua 10:24Walipokuwa wamewaleta hawa wafalme kwa Yoshua, akawaita watu wote wa Israeli, na kuwaambia majemadari wa vita waliokwenda pamoja naye, “Njooni hapa mweke nyayo zenu juu ya shingo za hawa wafalme.” Basi wakaja wakaweka nyayo zao shingoni.

Job 40:12mwangalie kila mtu mwenye kiburi na umnyenyekeze, 2 waponde waovu mahali wasimamapo. 1

Psalms 147:6Bwana huwahifadhi wanyenyekevu 2 lakini huwashusha waovu mpaka mavumbini. 1

Isaiah 26:6Miguu huukanyaga chini, 2 miguu ya hao walioonewa, 2 hatua za hao maskini. 1

Ezekiel 28:18Kwa dhambi zako nyingi na biashara yako ya dhuluma, 2 umenajisi mahali pako patakatifu. 1 Kwa hiyo nilifanya moto utoke ndani yako, 2 nao ukakuteketeza, 1 nami nikakufanya majivu juu ya nchi, 2 machoni pa wote waliokuwa wakitazama. 1

Daniel 7:27Ndipo ufalme, mamlaka na ukuu wa falme chini ya mbingu yote utakabidhiwa kwa watakatifu, watu wa Yeye Aliye Juu Sana. Ufalme wake utakuwa ufalme wa milele, nao watawala wote watamwabudu na kumtii yeye.’

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Malachi 4:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Malachi 4:2Malachi 4Malachi 4:4 →