Ayubu 40:12
mwangalie kila mtu mwenye kiburi na umnyenyekeze, 2 waponde waovu mahali wasimamapo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Look on every one that is proud, and bring him low; and tread down the wicked in their place.
In Context
11Fungulia ukali wa ghadhabu yako, 2 mtafute kila mwenye kiburi umshushe, 1
13Wazike wote mavumbini pamoja; 2 wafunge nyuso zao kaburini. 1
Cross References
Job 36:20Usiutamani usiku uje, 2 ili uwaburute watu mbali na nyumba zao. 1
Psalms 94:2Ee Mhukumu wa dunia, inuka, 2 uwalipize wenye kiburi kama wanavyostahili. 1
Ecclesiastes 11:3Kama mawingu yamejaa maji, 2 hunyesha mvua juu ya nchi. 1 Kama mti ukianguka kuelekea kusini 2 au kuelekea kaskazini, 1 mahali ulipoangukia, 2 hapo ndipo utakapolala. 1
Isaiah 13:11Nitauadhibu ulimwengu kwa ajili ya uovu wake, 2 waovu kwa ajili ya dhambi zao. 1 Nitakomesha majivuno ya wenye kiburi, 2 na nitakishusha kiburi cha watu wakatili. 1
Zechariah 10:5Kwa pamoja watakuwa kama mashujaa 2 wanaokanyaga barabara za matope 2 wakati wa vita. 1 Kwa sababu Bwana yu pamoja nao, 2 watapigana na kuwashinda wapanda farasi. 1
Acts 1:25ili achukue nafasi ya huduma ya utume ambayo Yuda aliiacha ili aende mahali pake mwenyewe.”