Mark 1:10
Yesu alipokuwa akitoka ndani ya maji, aliona mbingu zikifunguka na Roho akishuka juu yake kama hua.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Wakati huo Yesu akaja kutoka Nazareti ya Galilaya, naye akabatizwa na Yohana katika Mto Yordani.
Cross References
Isaiah 64:1Laiti ungelipasua mbingu na kushuka chini, 2 ili milima ingelitetemeka mbele zako! 1
Luke 3:22Roho Mtakatifu akashuka juu yake kwa umbo kama la hua, nayo sauti kutoka mbinguni ikasema: “Wewe ni Mwanangu mpendwa; nami nimependezwa nawe sana.” 1 Ukoo Wa Bwana Yesu (Mathayo 1:1-17)