The Bible Software
bible.softwareMarkMark 1 › Mark 1:11

Mark 1:11

Nayo sauti kutoka mbinguni ikasema, “Wewe ni Mwanangu mpendwa; nami nimependezwa nawe sana.” 1 Majaribu Ya Yesu (Mathayo 4:1-11; Luka 4:1-13)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And there came a voice from heaven, saying, Thou art my beloved Son, in whom I am well pleased.

In Context

10Yesu alipokuwa akitoka ndani ya maji, aliona mbingu zikifunguka na Roho akishuka juu yake kama hua.

12Wakati huo huo, Roho akamwongoza Yesu kwenda nyikani,

Read all of Mark 1

Cross References

Psalms 2:7Nitatangaza amri ya Bwana: 2 Yeye aliniambia, “Wewe ni Mwanangu, 2 leo mimi nimekuzaa. 1

Matthew 3:17Nayo sauti kutoka mbinguni ikasema, “Huyu ni Mwanangu mpendwa, ambaye ninapendezwa sana naye.”

Mark 9:7Ndipo pakatokea wingu, likawafunika, nayo sauti kutoka lile wingu ikasema, “Huyu ni Mwanangu mpendwa. Msikieni yeye.”

John 1:34Mimi mwenyewe nimeona jambo hili na ninashuhudia kuwa huyu ndiye Mwana wa Mungu.” 1 Wanafunzi Wa Kwanza Wa Yesu

John 3:35Baba anampenda Mwana, naye ametia vitu vyote mikononi mwake.

John 5:37Naye Baba mwenyewe ameshuhudia juu yangu. Hamjapata kamwe kuisikia sauti yake wala kuona umbo lake,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mark 1:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mark 1:10Mark 1Mark 1:12 →