bible.software › Mark › Mark 1 › Mark 1:12
Mark 1:12
Wakati huo huo, Roho akamwongoza Yesu kwenda nyikani,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And immediately the Spirit driveth him into the wilderness.
In Context
11Nayo sauti kutoka mbinguni ikasema, “Wewe ni Mwanangu mpendwa; nami nimependezwa nawe sana.” 1 Majaribu Ya Yesu (Mathayo 4:1-11; Luka 4:1-13)
13naye akawa huko nyikani kwa muda wa siku arobaini, akijaribiwa na Shetani. Alikaa na wanyama wa mwituni, nao malaika wakamhudumia. 1 Yesu Aanza Kuhubiri
Read all of Mark 1
Cross References
Matthew 4:1Kisha Yesu akaongozwa na Roho Mtakatifu kwenda nyikani ili akajaribiwe na ibilisi.
This Verse In Other Editions
Study Mark 1:12