Mark 1:33
Mji wote ukakusanyika mbele ya nyumba hiyo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And all the city was gathered together at the door.
In Context
32Jioni ile baada ya jua kutua, watu wakamletea Yesu wagonjwa wote na waliopagawa na pepo wachafu.
Cross References
Mark 1:5Watu kutoka Uyahudi wote na sehemu zote za Yerusalemu walikuwa wakimwendea. Nao wakaziungama dhambi zao, akawabatiza katika Mto Yordani.