Mark 1:32
Jioni ile baada ya jua kutua, watu wakamletea Yesu wagonjwa wote na waliopagawa na pepo wachafu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
33Mji wote ukakusanyika mbele ya nyumba hiyo.
Cross References
Matthew 8:16Jioni ile, wakamletea watu wengi waliopagawa na pepo wachafu, naye akawatoa wale pepo wachafu kwa neno lake, na kuwaponya wagonjwa wote.
Mark 3:2Wakawa wanamwangalia waone kama atamponya siku ya Sabato, ili wapate sababu ya kumshtaki.