Mark 1:7
Naye alihubiri akisema, “Baada yangu atakuja yeye aliye na uwezo kuniliko mimi, ambaye sistahili hata kuinama na kulegeza kamba za viatu vyake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 3:14Lakini Yohana akajitahidi kumzuia, akimwambia, “Mimi ninahitaji kubatizwa na wewe, nawe waja kwangu nikubatize?”
Luke 7:6Hivyo Yesu akaongozana nao, lakini alipokuwa hayuko mbali na nyumbani, yule jemadari akatuma rafiki zake kumwambia Yesu, “Bwana, usijisumbue, kwani mimi sistahili wewe kuingia chini ya dari yangu.
John 3:28Ninyi wenyewe ni mashahidi wangu kwamba nilisema, ‘Mimi si Kristo, + 3:28 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. ila nimetumwa nimtangulie.’