Matthew 3:14
Lakini Yohana akajitahidi kumzuia, akimwambia, “Mimi ninahitaji kubatizwa na wewe, nawe waja kwangu nikubatize?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But John forbad him, saying, I have need to be baptized of thee, and comest thou to me?
In Context
13Kisha Yesu akaja kutoka Galilaya mpaka Mto Yordani ili Yohana ambatize.
Cross References
Luke 1:43Lakini ni kwa nini mimi nimepata upendeleo kiasi hiki, hata mama wa Bwana wangu afike kwangu?
John 3:3Yesu akamjibu, “Amin, amin nakuambia, hakuna mtu anayeweza kuuona Ufalme wa Mungu kama hajazaliwa mara ya pili.”
Acts 1:5Yohana aliwabatiza kwa maji, lakini baada ya siku chache mtabatizwa kwa Roho Mtakatifu.” 1 Yesu Apaa Mbinguni (Marko 16:19-20; Luka 24:50-53)
Romans 3:25Yeye ambaye Mungu alimtoa awe dhabihu ya upatanisho kwa njia ya imani katika damu yake. Alifanya hivi ili kuonyesha haki yake, kwa sababu kwa ustahimili wake aliziachilia zile dhambi zilizotangulia kufanywa.
Galatians 3:27Kwa maana wote mliobatizwa ndani ya Kristo, mmemvaa Kristo.
Ephesians 2:3Sisi sote pia tuliishi katikati yao hapo zamani, tukitimiza tamaa za asili yetu ya dhambi na kufuata tamaa zake na mawazo yake. Nasi kwa asili tulikuwa wana wa ghadhabu, kama mtu mwingine yeyote.