The Bible Software
bible.softwareMarkMark 10 › Mark 10:11

Mark 10:11

Akawajibu, “Mtu yeyote amwachaye mkewe na kuoa mke mwingine, anazini naye.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he saith unto them, Whosoever shall put away his wife, and marry another, committeth adultery against her.

In Context

10Walipokuwa tena ndani ya nyumba, wanafunzi wake wakamuuliza kuhusu jambo hili.

12Naye mwanamke amwachaye mumewe na kuolewa na mume mwingine, anazini.” 1 Yesu Anawabariki Watoto Wadogo (Mathayo 19:13-15; Luka 18:15-17)

Read all of Mark 10

Cross References

Deuteronomy 24:2ikiwa baada ya kuondoka nyumbani kwake atakuwa mke wa mtu mwingine,

Matthew 19:9Mimi nawaambia, yeyote amwachaye mkewe isipokuwa kwa sababu ya uasherati naye akaoa mke mwingine, anazini. Naye amwoaye yule mwanamke aliyeachwa pia anazini.”

Romans 7:3Hivyo basi, kama huyo mwanamke ataolewa na mwanaume mwingine wakati mumewe akiwa bado yuko hai, ataitwa mzinzi. Lakini kama mumewe akifa, mwanamke huyo hafungwi tena na sheria ya ndoa, naye akiolewa na mtu mwingine haitwi mzinzi.

1 Corinthians 7:10Kwa wale waliooana nawapa amri (si mimi ila ni Bwana): Mke asitengane na mumewe.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mark 10:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mark 10:10Mark 10Mark 10:12 →