Mark 10:12
Naye mwanamke amwachaye mumewe na kuolewa na mume mwingine, anazini.” 1 Yesu Anawabariki Watoto Wadogo (Mathayo 19:13-15; Luka 18:15-17)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And if a woman shall put away her husband, and be married to another, she committeth adultery.
In Context
11Akawajibu, “Mtu yeyote amwachaye mkewe na kuoa mke mwingine, anazini naye.
13Watu walikuwa wakimletea Yesu watoto wadogo ili awaguse, lakini wanafunzi wake wakawakemea.
Cross References
1 Corinthians 7:11Lakini akitengana, ni lazima akae bila kuolewa, ama sivyo apatane tena na mumewe. Wala mume asimpe mkewe talaka.