Mark 10:25
Ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko mtu tajiri + 10:25 Tajiri ina maana wale wanaotumainia mali. kuingia katika Ufalme wa Mungu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
26Wanafunzi wake wakashangaa sana. Wakaulizana wao kwa wao, “Ni nani basi awezaye kuokoka?”
Cross References
Matthew 7:3“Mbona unatazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na wala huoni boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe?
Matthew 23:24Ninyi viongozi vipofu, mnachuja kiroboto lakini mnameza ngamia!