Mark 10:26
Wanafunzi wake wakashangaa sana. Wakaulizana wao kwa wao, “Ni nani basi awezaye kuokoka?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they were astonished out of measure, saying among themselves, Who then can be saved?
In Context
Cross References
Mark 6:51Akapanda ndani ya mashua nao, na ule upepo ukakoma! Wakashangaa kabisa,
Luke 13:23Mtu mmoja akamuuliza, “Bwana, ni watu wachache tu watakaookolewa?”
Acts 16:31Wakamjibu, “Mwamini Bwana Yesu Kristo, nawe utaokoka, pamoja na watu wa nyumbani mwako.”
2 Corinthians 11:23Je, wao ni watumishi wa Kristo? (Nanena kiwazimu.) Mimi ni zaidi yao. Nimefanya kazi kwa bidii kuwaliko wao, nimefungwa gerezani mara kwa mara, nimechapwa mijeledi sana, na nimekabiliwa na mauti mara nyingi.