Mark 10:34
ambao watamdhihaki na kumtemea mate, watampiga na kumuua. Siku tatu baadaye atafufuka.” 1 Ombi La Yakobo Na Yohana (Mathayo 20:20-28)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 16:10kwa maana hutaniacha kaburini, 2 wala hutamwacha Mtakatifu Wako kuona uharibifu. 1
Psalms 22:13Simba wangurumao wanaorarua mawindo 2 yao hupanua vinywa vyao dhidi yangu. 1
Isaiah 53:3Alidharauliwa na kukataliwa na wanadamu, 2 mtu wa huzuni nyingi, ajuaye mateso. 1 Kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao, 2 alidharauliwa, wala hatukumhesabu kuwa kitu. 1
Matthew 12:39Lakini yeye akawajibu, “Kizazi kiovu na cha uzinzi kinaomba ishara! Lakini hakitapewa ishara yoyote isipokuwa ile ishara ya nabii Yona.
Matthew 26:67Kisha wakamtemea mate usoni na wengine wakampiga ngumi. Wengine wakampiga makofi
Mark 14:63Kuhani mkuu akararua mavazi yake, akasema, “Tuna haja gani tena ya mashahidi zaidi?