Mathayo 26:67
Kisha wakamtemea mate usoni na wengine wakampiga ngumi. Wengine wakampiga makofi
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
66Uamuzi wenu ni gani?” Wakajibu, “Anastahili kufa.”
Cross References
Deuteronomy 25:9mjane wa nduguye atamwendea mbele ya wazee, atamvua kiatu kimoja na kumtemea mate usoni, na kusema, “Hivi ndivyo ambavyo hufanywa kwa mtu ambaye atakataa kuendeleza jamaa ya ndugu yake.”
Job 30:9“Nao sasa wana wao wananidhihaki katika nyimbo; 2 nimekuwa kitu cha dhihaka kwao. 1
Isaiah 50:6Niliwapa mgongo wangu wale wanipigao, 2 mashavu yangu wale wangʼoao ndevu zangu; 1 sikuuficha uso wangu kutokana na fedheha 2 na kutemewa mate. 1
Isaiah 53:3Alidharauliwa na kukataliwa na wanadamu, 2 mtu wa huzuni nyingi, ajuaye mateso. 1 Kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao, 2 alidharauliwa, wala hatukumhesabu kuwa kitu. 1
Lamentations 3:30Na atoe shavu lake kwa yule ampigaye, 2 na ajazwe na aibu. 1
Micah 5:1Panga majeshi yako, ee mji wa majeshi, 2 kwa kuwa kuzingirwa kumepangwa dhidi yetu. 1 Watampiga mtawala wa Israeli 2 shavuni kwa fimbo. 1