Mark 10:49
Yesu akasimama na kusema, “Mwiteni.” Hivyo wakamwita yule mtu kipofu, wakamwambia, “Jipe moyo! Inuka, anakuita.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
50Akiwa analivua lile joho lake, alisimama na kumwendea Yesu.
Cross References
Psalms 145:8Bwana ni mwenye neema na mwingi wa huruma, 2 si mwepesi wa hasira, bali ni mwingi wa upendo. 1
Luke 18:40Yesu akasimama, akawaamuru wamlete huyo mtu kwake. Alipokaribia, Yesu akamuuliza,
Hebrews 2:17Kwa sababu hii ilibidi afanane na ndugu zake kwa kila hali, ili apate kuwa Kuhani Mkuu mwenye huruma na mwaminifu katika kumtumikia Mungu, ili pia apate kufanya upatanisho kwa ajili ya dhambi za watu.