Luke 18:40
Yesu akasimama, akawaamuru wamlete huyo mtu kwake. Alipokaribia, Yesu akamuuliza,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jesus stood, and commanded him to be brought unto him: and when he was come near, he asked him,
In Context
41“Unataka nikufanyie nini?” Akajibu, “Bwana, nataka kuona.”
Cross References
Mark 10:48Watu wengi wakamkemea, wakamwambia akae kimya, lakini yeye akazidi kupaza sauti, akisema, “Mwana wa Daudi, nihurumie!”