Mark 10:6
Lakini tangu mwanzo wa uumbaji, ‘Mungu aliwaumba mwanaume na mwanamke.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But from the beginning of the creation God made them male and female.
In Context
5Yesu akawaambia, “Mose aliwaandikia sheria hiyo kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu.
Cross References
Genesis 1:27Kwa hiyo Mungu akamuumba mtu kwa mfano wake mwenyewe, 2 kwa mfano wa Mungu alimuumba; 2 mwanaume na mwanamke aliwaumba.
Genesis 5:2Aliwaumba mwanaume na mwanamke, akawabariki. Walipokwisha kuumbwa, akawaita “mwanadamu.”
Malachi 2:14Mnauliza, “Kwa nini?” Ni kwa sababu Bwana ni shahidi kati yako na mke wa ujana wako, kwa sababu umevunja uaminifu naye, ingawa yeye ni mwenzako, mke wa agano lako la ndoa.
2 Peter 3:4Watasema, “Iko wapi ile ahadi ya kuja kwake? Tangu baba zetu walipofariki, kila kitu kinaendelea kama kilivyokuwa tangu mwanzo wa kuumbwa.”