Mark 10:7
Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake na kuambatana na mkewe, na hao wawili watakuwa mwili mmoja.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For this cause shall a man leave his father and mother, and cleave to his wife;
In Context
6Lakini tangu mwanzo wa uumbaji, ‘Mungu aliwaumba mwanaume na mwanamke.
8Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena, bali mwili mmoja.
Cross References
Matthew 19:5naye akasema, ‘Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake, naye ataambatana na mkewe, na hao wawili watakuwa mwili mmoja’?