The Bible Software
bible.softwareMarkMark 11 › Mark 11:10

Mark 11:10

“Umebarikiwa Ufalme unaokuja wa baba yetu Daudi!” 1 “Hosana kwake yeye aliye juu!”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Blessed be the kingdom of our father David, that cometh in the name of the Lord: Hosanna in the highest.

In Context

9Kisha wale waliokuwa wametangulia mbele na wale waliokuwa wakifuata nyuma wakapaza sauti, wakisema, 1 “Hosana!” + 11:9 Kiebrania kusema Okoa, basi likawa neno la shangwe. 1 “Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana!” 1

11Yesu akaingia Yerusalemu na kwenda Hekaluni. Akaangalia kila kitu kilichokuwamo, lakini kwa kuwa ilishakuwa jioni, akaenda zake Bethania pamoja na wale kumi na wawili. 1 Yesu Alaani Mtini Usiozaa (Mathayo 21:18-19)

Read all of Mark 11

Cross References

Psalms 148:1Msifuni Bwana. 1 Msifuni Bwana kutoka mbinguni, 2 msifuni juu vileleni. 1

Jeremiah 33:15“ ‘Katika siku hizo na wakati huo 2 nitalifanya Tawi la haki lichipuke kutoka ukoo wa Daudi, 1 naye atafanya lile lililo haki na sawa 2 katika nchi. 1

Ezekiel 34:23Nitaweka juu yao mchungaji mmoja, mtumishi wangu Daudi, naye atawachunga, atawachunga na kuwa mchungaji wao.

Hosea 3:5Baadaye Waisraeli watarudi na kumtafuta Bwana Mungu wao na Daudi mfalme wao. Watakuja wakitetemeka kwa Bwana na kwa baraka zake katika siku za mwisho.

Luke 1:31Tazama, utachukua mimba, nawe utamzaa mtoto mwanaume na utamwita jina lake Yesu.

Luke 19:38“Amebarikiwa Mfalme ajaye kwa Jina la Bwana!” 2 “Amani mbinguni na utukufu huko juu sana.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mark 11:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mark 11:9Mark 11Mark 11:11 →