The Bible Software
bible.softwareMarkMark 11 › Mark 11:16

Mark 11:16

wala hakumruhusu mtu yeyote kuchukua bidhaa kupitia ukumbi wa Hekalu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And would not suffer that any man should carry any vessel through the temple.

In Context

15Walipofika Yerusalemu, Yesu akaingia katika eneo la Hekalu, akaanza kuwafukuza wale waliokuwa wakinunua na kuuza humo ndani. Akazipindua meza za wale waliokuwa wakibadilisha fedha, na pia viti vya wale waliokuwa wakiuza njiwa,

17Naye alipokuwa akiwafundisha, akasema, “Je, haikuandikwa kuwa: 1 “ ‘Nyumba yangu itaitwa 2 nyumba ya sala kwa mataifa yote’? Lakini ninyi mmeifanya kuwa ‘pango la wanyangʼanyi.’ ”

Read all of Mark 11

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mark 11:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mark 11:15Mark 11Mark 11:17 →