The Bible Software
bible.softwareMarkMark 11 › Mark 11:17

Mark 11:17

Naye alipokuwa akiwafundisha, akasema, “Je, haikuandikwa kuwa: 1 “ ‘Nyumba yangu itaitwa 2 nyumba ya sala kwa mataifa yote’? Lakini ninyi mmeifanya kuwa ‘pango la wanyangʼanyi.’ ”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he taught, saying unto them, Is it not written, My house shall be called of all nations the house of prayer? but ye have made it a den of thieves.

In Context

16wala hakumruhusu mtu yeyote kuchukua bidhaa kupitia ukumbi wa Hekalu.

18Viongozi wa makuhani na walimu wa sheria wakapata habari hizi, nao wakaanza kutafuta njia ya kumuua, kwa kuwa walikuwa wakimwogopa, kwa sababu umati wote ulikuwa unashangazwa na mafundisho yake.

Read all of Mark 11

Cross References

Isaiah 56:7hawa nitawaleta kwenye mlima wangu mtakatifu 2 na kuwapa furaha ndani ya nyumba yangu ya sala. 1 Sadaka zao za kuteketeza na dhabihu zao 2 zitakubalika juu ya madhabahu yangu; 1 kwa maana nyumba yangu itaitwa 2 nyumba ya sala kwa mataifa yote.” 1

Jeremiah 7:11Je, nyumba hii, iitwayo kwa Jina langu, imekuwa pango la wanyangʼanyi kwenu? Lakini nimekuwa nikiona yanayotendeka! asema Bwana.

Luke 19:46Naye akawaambia, “Imeandikwa, ‘Nyumba yangu itakuwa nyumba ya sala,’ lakini ninyi mmeifanya kuwa ‘pango la wanyangʼanyi.’ ”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mark 11:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mark 11:16Mark 11Mark 11:18 →