Mark 11:4
Wakaenda, wakamkuta mwana-punda amefungwa kando ya barabara, karibu na mlango wa nyumba.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 21:6Wale wanafunzi wakaenda, wakafanya kama Yesu alivyokuwa amewaagiza.
Luke 19:32Wale waliotumwa wakaenda, wakakuta kila kitu kama vile Yesu alivyokuwa amewaambia.
Hebrews 11:8Kwa imani Abrahamu, alipoitwa aende mahali ambapo Mungu angempa baadaye kuwa urithi, alitii na akaenda, ingawa hakujua anakokwenda.