Matthew 21:6
Wale wanafunzi wakaenda, wakafanya kama Yesu alivyokuwa amewaagiza.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the disciples went, and did as Jesus commanded them,
In Context
Cross References
Genesis 12:4Hivyo Abramu akaondoka kama Bwana alivyokuwa amemwambia; naye Loti akaondoka pamoja naye. Wakati Abramu alipoitwa aondoke Harani, alikuwa na miaka sabini na mitano.
Exodus 40:16Mose akafanya kila kitu sawa kama vile Bwana alivyomwagiza.
Ezekiel 12:7Basi nikafanya kama nilivyoamriwa. Wakati wa mchana nilitoa vitu vyangu nje vilivyofungwa tayari kwa uhamishoni. Kisha wakati wa jioni nikatoboa ukuta kwa mikono yangu. Nikachukua mizigo yangu nje wakati wa giza la jioni, nikiwa nimeibeba mabegani mwangu huku wakinitazama.