bible.software › Mark › Mark 11 › Mark 11:8
Mark 11:8
Watu wengi wakatandaza mavazi yao barabarani, na wengine wakatandaza matawi waliyokuwa wamekata mashambani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And many spread their garments in the way: and others cut down branches off the trees, and strawed them in the way.
In Context
7Kisha wakamleta huyo mwana-punda kwa Yesu na kutandika mavazi yao juu yake, naye akampanda.
9Kisha wale waliokuwa wametangulia mbele na wale waliokuwa wakifuata nyuma wakapaza sauti, wakisema, 1 “Hosana!” + 11:9 Kiebrania kusema Okoa, basi likawa neno la shangwe. 1 “Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana!” 1
Read all of Mark 11
This Verse In Other Editions
Study Mark 11:8