Mark 12:11
Bwana ndiye alitenda jambo hili, 2 nalo ni ajabu machoni petu’?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
This was the Lord’s doing, and it is marvellous in our eyes?
In Context
10Je, hamjasoma Andiko hili: 1 “ ‘Jiwe walilolikataa waashi 2 limekuwa jiwe kuu la pembeni; 1
Cross References
Numbers 23:23Hakuna uchawi dhidi ya Yakobo, 2 wala hakuna uaguzi dhidi ya Israeli. 1 Sasa itasemwa kuhusu Yakobo 2 na Israeli, ‘Tazama yale Mungu aliyotenda!’ 1
Habakkuk 1:5“Yatazame mataifa, 2 uangalie na ushangae kabisa. 1 Kwa sababu katika siku zako nitafanya kitu 2 ambacho hungeamini, 2 hata kama ungeambiwa. 1
Acts 2:32Mungu alimfufua huyu Yesu na sisi sote ni mashahidi wa jambo hilo.
Acts 13:40Kwa hiyo jihadharini ili yale waliyosema manabii yasiwapate: 1
Colossians 1:27Kwao, Mungu amechagua kujulisha miongoni mwa watu wa Mataifa utukufu wa utajiri wa siri hii, ambayo ni Kristo ndani yenu, tumaini la utukufu.