Mark 12:10
Je, hamjasoma Andiko hili: 1 “ ‘Jiwe walilolikataa waashi 2 limekuwa jiwe kuu la pembeni; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Bwana ndiye alitenda jambo hili, 2 nalo ni ajabu machoni petu’?”
Cross References
Psalms 118:22Jiwe walilolikataa waashi, 2 limekuwa jiwe kuu la pembeni. 1
Matthew 12:3Yesu akawajibu, “Je, hamjasoma alichofanya Daudi na wenzake walipokuwa na njaa?
Matthew 21:16Wakamuuliza Yesu, “Je, unasikia hayo hawa wanayosema?” Akawajibu, “Naam; kwani hamkusoma, 1 “ ‘Midomoni mwa watoto wachanga na wanyonyao 2 umeamuru sifa’?”
Matthew 22:31Lakini kuhusu ufufuo wa wafu, hamjasoma kile Mungu alichowaambia, kwamba,
Mark 12:26Basi kuhusu wafu kufufuliwa, je hamjasoma katika Kitabu cha Mose jinsi Mungu alivyosema na Mose kutoka kile kichaka akisema, ‘Mimi ni Mungu wa Abrahamu, na Mungu wa Isaki, na Mungu wa Yakobo?’
Luke 6:3Yesu akawajibu, “Je, ninyi hamjasoma kamwe alivyofanya Daudi wakati yeye na wenzake walikuwa na njaa?