Mark 12:27
Yeye si Mungu wa wafu, bali ni Mungu wa walio hai. Kwa hiyo mmekosea kabisa.” 1 Amri Iliyo Kuu (Mathayo 22:34-40; Luka 10:25-28)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He is not the God of the dead, but the God of the living: ye therefore do greatly err.
In Context
Cross References
Proverbs 19:27Mwanangu, ukiacha kusikiliza mafundisho, 2 utatangatanga mbali na maneno ya maarifa. 1
Romans 4:17Kama ilivyoandikwa: “Nimekufanya wewe kuwa baba wa mataifa mengi.” Yeye ni baba yetu mbele za Mungu, ambaye yeye alimwamini, yule Mungu anaye fufua waliokufa, na kuvitaja vile vitu ambavyo haviko kana kwamba vimekwisha kuwako. 1 Mfano Wa Imani Ya Abrahamu
Hebrews 3:10Hiyo ndiyo sababu nilikasirikia kizazi kile, 2 nami nikasema, ‘Siku zote mioyo yao imepotoka, 2 nao hawajazijua njia zangu.’ 1