Mark 12:4
Kisha yule mwenye shamba akamtuma mtumishi mwingine kwao; nao wale wakulima wakampiga kichwani na kumfanyia mambo ya aibu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Lakini wale wakulima walimkamata yule mtumishi, wakampiga, wakamfukuza mikono mitupu.
Cross References
Psalms 68:21Hakika Mungu ataponda vichwa vya adui zake, 2 vichwa vya hao waendao katika njia za dhambi. 1