Mark 12:5
Kisha akamtuma mtumishi mwingine, naye huyo wakamuua. Akawatuma wengine wengi; baadhi yao wakawapiga, na wengine wakawaua.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And again he sent another; and him they killed, and many others; beating some, and killing some.
In Context
Cross References
Jeremiah 7:25Tangu wakati ule baba zenu walipotoka Misri hadi sasa, siku baada ya siku, tena na tena nimewatumia watumishi wangu manabii.
Matthew 21:35“Wale wapangaji wakawakamata wale watumishi, wakampiga mmoja, wakamuua mwingine, na yule wa tatu wakampiga mawe.
Matthew 23:37“Ee Yerusalemu, Yerusalemu, uwauaye manabii na kuwapiga mawe wale waliotumwa kwako! Mara ngapi nimetamani kuwakusanya watoto wako pamoja, kama vile kuku akusanyavyo vifaranga wake chini ya mabawa yake, lakini hukutaka!
Luke 6:22Mmebarikiwa ninyi, watu watakapowachukia, 2 watakapowatenga na kuwatukana 1 na kulikataa jina lenu kama neno ovu, 2 kwa ajili ya Mwana wa Adamu.