The Bible Software
bible.softwareMarkMark 13 › Mark 13:24

Mark 13:24

“Lakini katika siku hizo, baada ya hiyo dhiki, 1 “ ‘jua litatiwa giza 2 nao mwezi hautatoa nuru yake; 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But in those days, after that tribulation, the sun shall be darkened, and the moon shall not give her light,

In Context

23Hivyo jihadharini. Nimekwisha kuwaambia mambo haya yote mapema kabla hayajatukia. 1 Kuja Kwa Mwana Wa Adamu (Mathayo 24:29-31; Luka 21:25-28)

25nazo nyota zitaanguka kutoka angani, 2 na nguvu za anga zitatikisika.’

Read all of Mark 13

Cross References

Isaiah 13:10Nyota za mbinguni na makundi ya nyota 2 havitatoa mwanga wake. 1 Jua linalochomoza litatiwa giza 2 na mwezi hautatoa nuru yake. 1

Jeremiah 4:23Niliitazama dunia, 2 nayo haikuwa na umbo tena ni tupu; 1 niliziangalia mbingu, 2 mianga ilikuwa imetoweka. 1

Ezekiel 32:7Nitakapokuzimisha, nitafunika mbingu 2 na kuzitia nyota zake giza; 1 nitalifunika jua kwa wingu, 2 nao mwezi hautatoa nuru yake. 1

Daniel 12:1“Katika wakati huo Mikaeli, mtawala mkuu ambaye huwalinda watu wako, atainuka. Kutakuwako wakati wa taabu ambao haujatokea tangu mwanzo wa mataifa hadi wakati huo. Lakini wakati huo, watu wako, kila mmoja ambaye jina lake litakutwa limeandikwa kwenye kitabu, ataokolewa.

Joel 2:30Nami nitaonyesha maajabu katika mbingu 2 na duniani: 2 damu, moto na mawimbi ya moshi. 1

Amos 5:20Je, siku ya Bwana haitakuwa giza, na si nuru: 2 giza nene, bila mwonzi wa mwanga? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mark 13:24

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mark 13:23Mark 13Mark 13:25 →